Posted on: August 29th, 2019
Ziara ya mkuu wa mkoa wa arusha Mhe. Mrisho Gambo imeendelea wilayani Karatu, katika ziara yake ametembelea eneo lilokuwa la kutupa taka katika soko kuu la Karatu. Amejionea hali ya mazingira na kutoa...
Posted on: August 28th, 2019
Mkuu wa mkoa wa Arusha Mhe. Mrisho Gambo ametembelea eneo linalojengwa Hospitali ya wilaya ya karatu kijiji cha Changarawe. Ziara hiyo ililenga kukagua na kujionea hatua za ujenzi wa hospi...
Posted on: August 28th, 2019
Mkuu wa mkoa wa Arusha Mhe. Mrisho Gambo amefanya ziara katika kituo cha afya kambi ya simba. Mhe Gambo amekagua miundo mbinu ya kituo hicho cha afya pamoja na kuzungumza na wafanyakazi na wananchi wa...