Posted on: August 2nd, 2019
Mkuu wa wilaya ya Karatu Mhe.Theresia Mahongo amefungua kikao cha wadau wa afya katika kitengo kinachohusiana na maswala ya lishe. Kikao cha wadau wa lishe kilienga kuendelea kujenga elimu ya ufahamu ...
Posted on: July 27th, 2019
Afisa elimu sekondari Bi, Kalista Maina ameendelea na ziara yake ya kutembelea shule za sekondari wilayani karatu. Ziara yake imelenga kujionea utendaji kazi wa walimu pamoja na kutambua kero za kitaa...
Posted on: July 27th, 2019
Afisa elimu sekondari ametembelea shule za sekondari za serikali zinazofundisha kidato cha tano na sita kwa nyakati tofauti. Shule zilizotembelewa ni shule ya sekondari Karatu, Ganako na Florian, na a...