• Wasiliana Nasi |
    • Maswali |
    • Barua Pepe za Watumishi |
    • Complains |
Karatu District Council
Karatu District Council

Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Karatu

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Dhamira na Dira
    • Historia
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Idara
      • Fedha na Biashara
      • Ujenzi
      • Afya
      • Elimu Msingi
      • Elimu Sekondari
    • Vitengo
  • Fursa za Uwekezaji
  • Huduma Zetu
  • Madiwani
  • Miradi
  • Machapisho
    • Hali ya Uwekezaji
      • Business License Form
  • Kituo cha Habari
    • Video
    • Habari
    • Hotuba kwa Vyombo vya Habari
    • Maktaba ya Picha

WAFANYABIASHARA WADOGO WAPATA VITAMBULISHO

Posted on: December 22nd, 2018

Na Tegemeo Kastus

Zoezi la kugawia wafanyabishara wadogo vitambulisho vya biashara limefanyika leo katika uwanja wa Mazingira bora Karatu. Zoezi hilo limezinduliwa na Mkuu wa wilaya ya Karatu Mheshimiwa Theresia Mahongo.

Mheshimiwa Theresia amesema ukiwa na kitambulisho utafanya biashara bila kusumbuliwa, sisi Karatu hatupo nyuma zoezi hili liwe chachu kwa wafanyabiashara ambao hawajalipia ili wajitokeze kupata vitambulisho. Zoezi hili ni endelevu amesema mjasiriamali unaye pata kitambulisho unachangia taifa lako, Mheshimiwa Theresia Mahongo amesema Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa John Pombe Magufuli anataka wafanyabiashara wadogo wakuwe. Mheshimiwa Theresia amesema anatambua biashara wanazofanya wafanya biashara wadogo, na amesema kuna watu wanabishara nzuri sana.

Mheshimiwa  Theresia ametumia fursa hiyo kuwaomba wananchi kuendelea kutunza amani, na amewatakia wananchi wa Karatu Kheri ya chrismas  na Mwaka mpya.


HABARI PICHA TUNAOMBA MUANGALIE GALLERY YETU

Matangazo

  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI September 01, 2023
  • LAKE EYASI CULTURAL TOURISM PROGRAM NEW ENTRY FEE December 01, 2022
  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI NAFASI YA MTENDAJI WA KIJIJI DARAJA LA 111 NA MSAIDIZI WA KUMBUKUMBU DARAJA LA 11 May 07, 2021
  • Angalia Zote

Taarifa Mpya

  • MIAKA (61) YA UHURU MKUU WA WILAYA YA KARATU MHE DADI HORICE KOLIMBA AFUNGUA MDAHALO WA MAENDELEO WILAYA YA KARATU.

    December 09, 2022
  • MAADHIMISHO YA MIAKA 61 YA UHURU WA TANGANYIKA

    December 09, 2022
  • MAADHIMISHO YA MIAKA 61 YA UHURU WA TANGANYIKA

    December 09, 2022
  • LAKE EYASI CULTURAL TOURISM TO BE IMPROVED

    November 08, 2022
  • Angalia Zote

Video

NDUGU. EDWARD MAURA MWENYEKITI WA BARAZA LA WAFUGAJI NGORONGORO
Video Zaidi

Viunganishi vya Haraka

  • Fursa za Uwekezaji

Viunganishi Linganifu

  • Tovuti ya Wizara ya Fedha na Mipango
  • Tovuti ya Tamisemi
  • Tovuti ya Serikali
  • Sekretarieti ya Ajira

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

writingMasterThesis

Location Map

Wasiliana Nasi

    Karatu District Council

    Sanduku la Posta: P.O Box 190

    Simu: +255 272970648

    Simu ya Mkononi: 0754773947

    Barua Pepe: ded@karatudc.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya Tovuti

Haki Miliki @ 2017 Halmashauri ya Wilaya ya Karatu.Haki zote zimehifadhiwa