Posted on: May 14th, 2025
Maafisa Uandikishaji Wasaidizi na Waendesha vifaa vya Biometriki wa Daftari la kudumu la mpiga Kura awamu ya pili wamekula kiapo leo Mei 14,2025 Mbele ya Afisa Uandikishaji Jimbo la Karatu Eng. Alexan...
Posted on: May 15th, 2025
Jumuiya ya Tawala za Mitaa Mkoa wa Arusha (ALAT) imefanya ziara ya Kukagua Miradi ya Maendeleo katika Halmashauri ya Wilaya Meru na Kupongeza Juhudi za Serikali katika ujenzi na uboreshaji wa Miradi h...
Posted on: May 12th, 2025
Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Karatu Ndg. Juma Hokororo leo Mei 12, 2025 amewapokea Madaktari bingwa walioko chini ya mpango wa Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan awamu ya Tatu waliofika ...