Posted on: May 3rd, 2019
Zoezi la kupanda miti wilaya ya Karatu limefanyika katika kijiji cha Rhotia kati katika Mlima moyo. Mkuu wa wilaya ya karatu Mhe. Theresia Mahongo aliongoza zoezi la kupanda miti, na ameshukuru wadau ...
Posted on: May 3rd, 2019
Mwenyekiti wa chama cha mapinduzi mkoa wa Arusha ameendelea kupokea wanachama wapya kutoka vyama vya upinzani. Ndugu Saanare amewaapisha wanachama hao wapya na kuwapa kadi za chama cha mapinduzi...
Posted on: May 1st, 2019
Maadhimisho ya siku ya wafanyakazi yamefanyika kwa maandamano ya amani na kupokelewa na Mhe. Theresia Mahongo Mkuu wa wilaya ya Karatu katika uwanja wa mazingira bora. Kauli mbiu ya maadhimisho ...