Posted on: January 25th, 2019
Bodi ya huduma za afya ya wilaya ya Karatu imezinduliwa jana na Mkuu wa Wilaya ya Karatu Mhe. Theresia Mahongo katika Ukumbi wa Halmashauri ya Karatu. Mhe. Theresia amewaomba wajumbe walioteuliwa kusa...
Posted on: December 22nd, 2018
Na Tegemeo Kastus
Zoezi la kugawia wafanyabishara wadogo vitambulisho vya biashara limefanyika leo katika uwanja wa Mazingira bora Karatu. Zoezi hilo limezinduliwa na Mkuu wa wilaya ya Karatu Mhesh...
Posted on: December 19th, 2018
Na Tegemeo Kastus
Kijiji cha Endesh kata ya Baray jana kimepata hati miliki ya kimila baada ya zoezi la kupanga matumizi bora ya ardhi kukamilika kwa kushirikiana na (UCRT ) Ujamaa community resour...