Posted on: October 27th, 2020
NA TEGEMEO KASTUS
Taasisi ya kuzuia na kupambana na rushwa wilayani Karatu imeokoa kiasi cha million 56.7 zilizokuwa zimefanyiwa ubadhilifu. Fedha hizo zinajumuisha makundi mbalimbali ikiwemo...
Posted on: October 20th, 2020
NA TEGEMEO KASTUS
Wananchi lazima tuwe na ari ya kuanzisha na kutekeleza miradi ya maendeleo katika maeneo yetu. Tukijiwekea mikakati ya kujenga zahanati lazima vitendo vyetu vitafsiri malengo ya k...
Posted on: October 19th, 2020
NA TEGEMEO KASTUS
Uongozi wa kijiji cha chemchem wahimizwa kuanza kutenga maeneo kwa ajili ya malisho ya mifugo . Kutengwa maeneo kwa ajili ya malisho ya mifugo kutasaidia ufugaji wenye tija na una...