Posted on: October 13th, 2020
NA TEGEMEO KASTUS
Wananchi wa kijiji cha Marera wamepata tumaini jipya baada ya ujenzi wa zahanati ya Marera ulioanza mwaka 2011 kukamilika. Zahanati hiyo inatarajia kutoa huduma za afya kwa ...
Posted on: October 6th, 2020
NA TEGEMEO KASTUS
Serikali imetoa takribani million 210 kwa ajili ya ujenzi wa maabara katika shule za sekondari wilayani Karatu. Fedha hizo zimetoka katika mfuko wa EP4R, Maabara hizo zitaje...