Posted on: August 6th, 2020
NA TEGEMEO KASTUS
Wajumbe wa kamati ya ulinzi na usalama wakiongozwa na mkuu wa wilaya ya Karatu wamefanya ziara katika eneo la mnadani Karatu. Wametembelea na kuona eneo la machinjio ya mnadani na...
Posted on: August 4th, 2020
NA TEGEMEO KASTUS
Maamuzi ya ujenzi wa zahanati katika kitongoji cha Endamarariek yamefikiwa, baada ya sintofahamu ya muda mrefu kwa wananchi na uongozi wa Halmashauri ya kijiji. Mvutano huo ...
Posted on: August 4th, 2020
NA TEGEMEO KASTUS
Shamba darasa la vitunguu la White onion na shamba la darasa la vitunguu red Bombay ni moja ya vitu viliyokatika banda la nane karatu. Vitunguu ni zao kuu la biashara katika...