Posted on: September 27th, 2019
Shirika lisilo la kiserikali la (JIVITA) Jitegeeme vijana Tanazania foundation; limetoa taulo za kike kwa vijana wa kike walio shuleni katika wilaya ya Karatu. Msaada huo ni jitihada za ku...
Posted on: September 3rd, 2019
Mkutano wa baraza la madiwani wa Halmashauri ya Karatu umeendelea kwa siku ya pili, ambayo baraza limetumia kuchagua Mwenyekiti mpya wa Halmashauri. Nafasi ambayo ilibaki wazi baada ya aliyekuwa Mweny...
Posted on: September 2nd, 2019
Kikao maalum cha baraza la Madiwani kimefanyika katika ukumbi wa Halmashauri. Kikao hicho maalum kilikuwa na ajenda moja, ambayo ilikuwa inamhusu mwenyekiti wa Halmashauri. Kilihudhuriwa na mwakilishi...