Posted on: January 28th, 2022
Mkuu wa Wilaya ya Karatu Mhe. Dadi H. Kolimba azungumza na baraza la madiwani wa Halmashauri ya Wilaya ya Karatu kwenye Mkutano wa Kawaida uliofanyika tarehe 28/01/2022 kwenye ukumbi wa Halmashauri.
...
Posted on: November 23rd, 2021
Mkuu wa wilaya ya Karatu Mhe Abbas J. Kayanda akiwa ameambatana na wajumbe wa kamati ya ulinzi na usalama wa wilaya , meneja wa maji wa KAVIWASU Stephen James Siay, Stanley Stephen meneja wa KARUWASA,...
Posted on: October 14th, 2021
Mheshimiwa Mkuu wa Wilaya ya Karatu Mhe. Abbas J. Kayanda tarehe 13/10/2021 alizindua mradi wa Maji, Maktaba, Madarasa na vyoo vya Wanafunzi shule ya Msingi Haydesh iliyofadhiliwa na...