Posted on: July 3rd, 2019
Mkurugenzi mtendaji wa Halmashauri ya wilaya ya Karatu ndugu Waziri Mourice amekutana na watendaji wa kata katika ukumbi wa Halmashauri. Katika kikao chao cha ndani Mkurugenzi amezungumzia uteuzi wao ...
Posted on: July 2nd, 2019
Mpango wa matumizi ya ardhi umezinduliwa katika kijiji cha Dumbechand na mkuu wa wilaya ya Karatu. Uzinduzi umefanyika katika mkutano wa hadhara uliohusisha wananchi na viongozi wa Halmashauri y...
Posted on: July 1st, 2019
Mkuu wa wilaya ya Karatu Mhe. Theresia Mahongo amefanya ziara katika kata ya Kansay na kutembelea zahanati ya Ng’aibara na Zahanati ya Laja. Amekagua miundo mbinu ya zahanati hizo, pamoja na kuangalia...