Posted on: June 25th, 2019
Shirika la maendeleo la Japan ( JICA ) limefanya mafunzo elekezi kwa wataalamu wa kilimo wa wilaya juu ya namna ya kutekeleza mradi wa Tanshep. Mafunzo hayo yanafanyika katika ukumbi wa Halmashauri ya...
Posted on: June 24th, 2019
Mafunzo ya uwezeshaji wa Tassaf yamefanyika wilayani Karatu, katika ukumbi wa ofisi ya Afisa tarafa wa tarafa ya Karatu. Mafunzo hayo yanayoendeshwa na Maafisa waTassaf ngazi ya taifa yamejumuisha tim...
Posted on: June 21st, 2019
Mganga mkuu wa wilaya Dkt. Mustafa Waziri amewaomba wakazi wa Karatu wajitokeze kwa wingi kujiandikisha katika bima ya afya iliyoboreshwa. Ni vyema watu wakawa na bima kwa sababu itasaidia kuboresha u...