• Wasiliana Nasi |
    • Maswali |
    • Barua Pepe za Watumishi |
    • Complains |
Karatu District Council
Karatu District Council

Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Karatu

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Dhamira na Dira
    • Historia
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Idara
      • Fedha na Biashara
      • Ujenzi
      • Afya
      • Elimu Msingi
      • Elimu Sekondari
    • Vitengo
  • Fursa za Uwekezaji
  • Huduma Zetu
  • Madiwani
  • Miradi
    • TASAF
    • BOOST
  • Machapisho
    • Hali ya Uwekezaji
      • Business License Form
  • Kituo cha Habari
    • Video
    • Habari
    • Hotuba kwa Vyombo vya Habari
    • Maktaba ya Picha

HALMASHAURI KUFANYA UKARABATI WA STANDI YA MABASI

Posted on: May 20th, 2019

Mkurugenzi mtendaji wa Halmashauri ya wilaya ya Karatu pamoja na watendaji wa Halmashauri wametembelea eneo la stand ya mabasi ya Karatu. Ziara hiyo ililenga kujionea hali ya  miundo mbinu  katika  stand ya mabasi ya Karatu.

Ndugu Waziri Mourice amesema stand ya mabasi ya Karatu haijajengwa kwa miundo mbinu mizuri. Amesema stand hiyo inamaeneo mengi maji yanatuama  na haina mitaro ya kupitishia maji. amesema Halmashauri ina mpango wa kukarabati  stand hiyo kwa mpango wa muda mfupi. Mpango huo wa muda mfupi ni kuweka moramu ili kuondoa maji kutuama, sambamba na kuweka mifereji kuelekeza maji ili yapite. Lakini pia kuhakikisha maji yanayovunwa kwa bati nayo yanaelekea kwenye mifereji ya kutoa maji, na kuondoa usumbufu wa matope kwa abiria.

Amesema Halmashauri ina mpango wa kuweka vibao vya magari vinavyolekeza maeneo ambayo magari yanaenda kwa utaratibu mzuri. Lakini kuna mpango wa muda mrefu ambao utaimarisha zaidi miundo mbinu ya stand ya mabasi. Lakini pia kuwezesha magari yote ya usafirishaji kufanya shughuli za usafirishaji katika eneo la stand tofauti na sasa, baadhi ya magari hayafanyi shughuli za usafirishaji abiria katika eneo la stand ya mabasi.

Mkurugenzi mtendaji Ndugu waziri Mourice na watendaji wakikagua miundo Mbinu ya stand ya mabasi Karatu

Matangazo

  • Matokeo ya upimaji wa Kitaifa kidoto cha pili January 07, 2024
  • Halmashauri ya Wilaya ya Karatu Uchaguzi wa Wanafunzi wa kidato cha kwanza, 2024 December 18, 2023
  • Matokeo ya Darasa la Nne January 07, 2024
  • NAFASI ZA KAZI 2024 April 21, 2024
  • Angalia Zote

Taarifa Mpya

  • MILIONI 400 ZATOLEWA KARATU, KUJENGA MABWENI NA MADARASA EYASI SEKONDARI

    January 30, 2025
  • WASIMAMIZI WAASWA KUSIMAMIA VIAPO VYAO KUELEKEA UCHAGUZI WA SERIKALI ZA MITAA 2024.

    November 23, 2024
  • JESHI LA AKIBA MKAWE WAZALENDO KWA TAIFA

    November 23, 2024
  • HALMASHAURI YAZINDUA KITABU CHA MPANGO MKAKATI WA UKUSANYAJI MAPATO.

    November 19, 2024
  • Angalia Zote

Video

DC KOLIMBA ATATUA KERO TARAFA YA EYASI KARATU
Video Zaidi

Viunganishi vya Haraka

  • Fursa za Uwekezaji

Viunganishi Linganifu

  • Tovuti ya Wizara ya Fedha na Mipango
  • Jamvi la Habari
  • Tovuti ya Tamisemi
  • Tovuti ya Serikali
  • Sekretarieti ya Ajira

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

writingMasterThesis

Location Map

Wasiliana Nasi

    Karatu District Council

    Sanduku la Posta: P.O Box 190

    Simu: +255 272970648

    Simu ya Mkononi: 0754773947

    Barua Pepe: ded@karatudc.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya Tovuti

Haki Miliki @ 2017 Halmashauri ya Wilaya ya Karatu.Haki zote zimehifadhiwa