• Wasiliana Nasi |
    • Maswali |
    • Barua Pepe za Watumishi |
    • Complains |
Karatu District Council
Karatu District Council

Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Karatu

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Dhamira na Dira
    • Historia
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Idara
      • Fedha na Biashara
      • Ujenzi
      • Afya
      • Elimu Msingi
      • Elimu Sekondari
    • Vitengo
  • Fursa za Uwekezaji
  • Huduma Zetu
  • Madiwani
  • Miradi
    • TASAF
    • BOOST
  • Machapisho
    • Hali ya Uwekezaji
      • Business License Form
  • Kituo cha Habari
    • Video
    • Habari
    • Hotuba kwa Vyombo vya Habari
    • Maktaba ya Picha

MBIO ZA MWENGE WAZINDUA MRADI WA MAJI

Posted on: June 12th, 2019

Mwenge wa uhuru umezindua mradi wa maji kijiji cha Ayalaliyo, Mradi huo umegharimu jumla ya Tshs 226,239,520/=, kati ya fedha hizo Shirika la World Vision Tanzania walichangia kiasi cha Tshs 206,169,070/=, Serikali Kuu ilichangia kiasi cha Tshs 9,870,450 na Wananchi walichangia nguvu kazi zenye thamani ya kiasi cha Tshs 10,200,000.

Ndugu Mzee mkongea Alli kiongozi wa mbio za mwenge kitaifa amewapongeza world vision kwa mradi huo wa maji. Baada ya kuijionea miundo mbinu ya maji na kujiridhisha kwa namna ilivyotekelezwa . Ndugu Mkongea Amesema mbio za mwenge wa uhuru zimeridhia kuufungua mradi huo.

Injinia wa maji Ndugu Egibert Mutarubukwa akieleza jambo mbele ya wakimbiza mwenge Kitaifa.

 

Mradi huu unahudumia takribani watu wapatao 2,155, zikiwemo shule na Zahanati.  Kupatikana kwa maji kijijini hapa  kumesaidia kupunguza magojwa ya mlipuko (Water born related diseases) hivyo kuimarisha afya za wananchi, kuongeza kipato na kukuza uchumi wa wananchi badala ya kupoteza muda mwingi kutafuta maji. Aidha, kuwepo kwa mradi huu kumesaidia Wanafunzi kupata muda wa kutosha katika kujifunza na kujisomea kwani watokapo mashuleni hutumia muda mchache wa kuchota maji.

Matangazo

  • Matokeo ya upimaji wa Kitaifa kidoto cha pili January 07, 2024
  • Halmashauri ya Wilaya ya Karatu Uchaguzi wa Wanafunzi wa kidato cha kwanza, 2024 December 18, 2023
  • Matokeo ya Darasa la Nne January 07, 2024
  • NAFASI ZA KAZI 2024 April 21, 2024
  • Angalia Zote

Taarifa Mpya

  • MILIONI 400 ZATOLEWA KARATU, KUJENGA MABWENI NA MADARASA EYASI SEKONDARI

    January 30, 2025
  • WASIMAMIZI WAASWA KUSIMAMIA VIAPO VYAO KUELEKEA UCHAGUZI WA SERIKALI ZA MITAA 2024.

    November 23, 2024
  • JESHI LA AKIBA MKAWE WAZALENDO KWA TAIFA

    November 23, 2024
  • HALMASHAURI YAZINDUA KITABU CHA MPANGO MKAKATI WA UKUSANYAJI MAPATO.

    November 19, 2024
  • Angalia Zote

Video

DC KOLIMBA ATATUA KERO TARAFA YA EYASI KARATU
Video Zaidi

Viunganishi vya Haraka

  • Fursa za Uwekezaji

Viunganishi Linganifu

  • Tovuti ya Wizara ya Fedha na Mipango
  • Jamvi la Habari
  • Tovuti ya Tamisemi
  • Tovuti ya Serikali
  • Sekretarieti ya Ajira

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

writingMasterThesis

Location Map

Wasiliana Nasi

    Karatu District Council

    Sanduku la Posta: P.O Box 190

    Simu: +255 272970648

    Simu ya Mkononi: 0754773947

    Barua Pepe: ded@karatudc.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya Tovuti

Haki Miliki @ 2017 Halmashauri ya Wilaya ya Karatu.Haki zote zimehifadhiwa