• Wasiliana Nasi |
    • Maswali |
    • Barua Pepe za Watumishi |
    • Complains |
Karatu District Council
Karatu District Council

Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Karatu

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Dhamira na Dira
    • Historia
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Idara
      • Fedha na Biashara
      • Ujenzi
      • Afya
      • Elimu Msingi
      • Elimu Sekondari
    • Vitengo
  • Fursa za Uwekezaji
  • Huduma Zetu
  • Madiwani
  • Miradi
  • Machapisho
    • Hali ya Uwekezaji
      • Business License Form
  • Kituo cha Habari
    • Video
    • Habari
    • Hotuba kwa Vyombo vya Habari
    • Maktaba ya Picha

Mkuu wa Wilaya azungumza na Baraza la madiwani

Posted on: January 28th, 2022

Mkuu wa Wilaya ya Karatu Mhe. Dadi H. Kolimba azungumza na baraza la madiwani wa Halmashauri ya Wilaya ya Karatu kwenye Mkutano wa Kawaida uliofanyika tarehe 28/01/2022 kwenye ukumbi wa Halmashauri.

Mkuu wa wilaya amezungumzia mambo mbalimbali kama ifuatavyo:-

Mapato

Mkuu wa Wilaya amezungumzia uwepo wa mizani kwenye geti la kukusanyia ushuru wa zao la Vitunguu pia amesisitiza uboreshwaji wa kanzidata ya wafanyabiashara, ufuatiliaji wa leseni za biashara na matumizi ya EFD kwenye  vituo vya Mafuta (petrol station). Aidha amesisitiza swala la ukusanyaji wa mapato ni muhimu sana ili Halmashauri iweze kutekeleza miradi ya maendeleo.

Miradi ya Maendeleo

Amesisitiza usimamizi wa karibu wa miradi ya maendeleo ili miradi iwe na viwango vinavyokubalika amemuelekeza Mkurugenzi Mtendaji kupanga Wahandisi vizuri wasimamie kila hatua ya ujenzi wa miradi ya maendeleo.Amezitaka kamati za ujenzi kusimamia ipasavyo miradi ya ujenzi kupata bei halisi ya vifaa vya ujenzi.

Afya

Mkuu wa Wilaya alimuagiza Mganga Mkuu wa Wilaya kuhakikisha Dawa zinapatikana kwenye vituo vya Afya hii ni baada ya kupata malalamiko kutoka kwa baadhi ya wananchi kuhusu ukosefu wa madawa.

Wafanyabiashara wadogo wadogo (wamachinga)

Mkuu wa wilaya ameelekeza utekelezaji wa maagizo ya Mhe. Rais wa Jamhuri ya muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan kuhusu kuwatengea wamachinga maeneo ya kufanyia biashara pia ameshauri kutenga fedha kwenye bajeti lengo ni kuhakikisha wanakuwa na maeneo mazuri ya kufanyia biashara

Elimu

Mkuu wa wilaya ameelekeza ufuatiliaji ufanyike katika zoezi la kuwaandikisha wanafunzi wa kidato cha kwanza ili kuwabaini wale wote watakaoshindwa kuwaandikisha wanafunzi wa kidato cha kwanza kwani miundombinu yote ipo tayari hakuna kisingizio.

Matangazo

  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI February 23, 2022
  • ORODHA YA WAOMBAJI WALIOCHAGULIWA KWA AJILI YA MCHUJO WA PILI KAZI YA ANWANI ZA MAKAZI March 10, 2022
  • Tangazo la kazi ya muda February 16, 2022
  • UWEKEZAJI KATIKA KIWANJA AMBACHO MAGARI YA WATALII YANAKAGULIWA BASHAY October 01, 2021
  • Angalia Zote

Taarifa Mpya

  • KARATU KUWA YA KIJANI

    February 05, 2022
  • Mkuu wa Wilaya azungumza na Baraza la madiwani

    January 28, 2022
  • Mkuu wa Wilaya azungumza na Baraza la madiwani

    January 28, 2022
  • Mkuu wa Wilaya azungumza na Baraza la madiwani

    January 28, 2022
  • Angalia Zote

Video

NDUGU. EDWARD MAURA MWENYEKITI WA BARAZA LA WAFUGAJI NGORONGORO
Video Zaidi

Viunganishi vya Haraka

  • Fursa za Uwekezaji

Viunganishi Linganifu

  • Tovuti ya Wizara ya Fedha na Mipango
  • Tovuti ya Tamisemi
  • Tovuti ya Serikali
  • Sekretarieti ya Ajira

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

writingMasterThesis

Location Map

Wasiliana Nasi

    Karatu District Council

    Sanduku la Posta: P.O Box 190

    Simu: +255 272970648

    Simu ya Mkononi: 0754266833

    Barua Pepe: ded@karatudc.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya Tovuti

Haki Miliki @ 2017 Halmashauri ya Wilaya ya Karatu.Haki zote zimehifadhiwa