Mkuu wa Wilaya ya Karatu Mhe. Dadi H. Kolimba Ameendelea na ziara Maalumu KLINIKI YA KUSIKILIZA NA KUTATUA KERO/ MALALAMIKO YA WANANCHI" Tarafa ya Eyasi Wilaya ya Karatu.
Leo ni siku ya Pili ya ziara hiyo Ambayao imezinduliwa Tarehe 14 March 2024 Katika Tarafa ya Endabash.
Hata hivyo ni utekelezaji wa Maagizo ya Mhe. Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Dkt. Samia Suluhu Hassan aliyewataka viongozi wote ngazi ya Mkoa na wilaya Kufika Kusikiliza na kutatua kero na Malalamiko ya Wananchi
Karatu District Council
Sanduku la Posta: P.O Box 190
Simu: +255 272970648
Simu ya Mkononi: 0754773947
Barua Pepe: ded@karatudc.go.tz
Haki Miliki @ 2017 Halmashauri ya Wilaya ya Karatu.Haki zote zimehifadhiwa