• Wasiliana Nasi |
    • Maswali |
    • Barua Pepe za Watumishi |
    • Complains |
Karatu District Council
Karatu District Council

Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Karatu

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Dhamira na Dira
    • Historia
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Idara
      • Fedha na Biashara
      • Ujenzi
      • Afya
      • Elimu Msingi
      • Elimu Sekondari
    • Vitengo
  • Fursa za Uwekezaji
  • Huduma Zetu
  • Madiwani
  • Miradi
    • TASAF
    • BOOST
  • Machapisho
    • Hali ya Uwekezaji
      • Business License Form
  • Kituo cha Habari
    • Video
    • Habari
    • Hotuba kwa Vyombo vya Habari
    • Maktaba ya Picha

MRADI WA KITUO CHA AFYA ENDABASH WAWEKWA JIWE LA MSINGI

Posted on: June 12th, 2019

Mwenge wa uhuru umeweka jiwe la msingi katika kituo cha afya Endabash, kituo hicho kimejengwa kupitia fedha million mia nne ilizopewa Halmashauri kwa ajili ya ujenzi  na ukarabati wa miundo mbinu. Fedha hizo zimetolewa kupitia force account na umeshirikisha wananchi na wadau mbalimbali.

Kiongozi wa mbio za mwenge kitaifa Ndugu Mzee Mkongea, amesema kuna baadhi ya milango haifunguki vizuri amemuelekeza injinia kurekebisha milango hiyo. Kwenye bafu la chumba kuogesha maiti ni vizuri ikawekewa shata. Mfumo wa maji taka na safi ni vizuri ukatenganishwa kwenye  jengo hilo. Ameomba mradi ukamilke kwa wakati na wameridhia kuuwekea jiwe la msingi mradi wa afya kituo cha Endabash.

Miradi mipya iliyojengwa  ni wodi ya watoto, ambayo kiasi cha fedha kilichotumika kwa fedha za ufundi tu ni shilingi 11998,500, nyumba ya mtumishi ambayo kiasi cha shilingi 6,232,000 na jengo la kuhifadhi maiti ambayo kiasi cha 5,692,375 na wodi ya wazazi ambayo kiasi cha 12,896,250. Fedha hizo ukijumuisha  na maksio ya gharama za vifaa vya ufundi  unapata jumla ya shilingi 346,822,862.

Fedha zilizobakia katika ujenzi huo ambazo ni shilingi 53,177,137 zinatarajia kufanya ukarabati wa jengo la wagonjwa wa nje. Fedha hizo zitatumika kutengeneza njia  ya kupita wagonjwa na chumba cha upasuaji.

Kijiji cha Endabash kimechangia  nguvu kazi kwa kukusanya mawe kushusha kokoto tripu 48 na kusawazisha maeneo ya ujenzi. Kijiji pia kimechimba msingi wa majengo yote na kuchimba mashimo ya kuhifadhi maji taka, kuchimba mtaro, kununu mabomba ya majina kuyalaza ili kufikisha maji kwenye ujenzi eneo la kituo cha afya mita 300 pamoja na kununua tanki la kuhifadhi maji wakati wa ujenzi. Nguvu hiyo waliochangia ni sawa na kiasi cha shilingi 19,800,0000

Halmashauri imechangia baadhi ya shughuli ikiwemo kutoa lori lillilotumika kusafirshia mchanga. Kutoa wataalamu kwa ajili ya usimamizi wa mradi huo ambao ni sawa na shilling 8,800,000 na kufanya thamani ya jumla ya  mradi kufika shilingi 428,600,000.

Wakimbiza mwenge kitaifa wakikagua jengo la kuhifdhi maiti, kituo cha afya Endabash.

Matangazo

  • Matokeo ya upimaji wa Kitaifa kidoto cha pili January 07, 2024
  • Halmashauri ya Wilaya ya Karatu Uchaguzi wa Wanafunzi wa kidato cha kwanza, 2024 December 18, 2023
  • Matokeo ya Darasa la Nne January 07, 2024
  • KIKAO CHA BARAZA LA MADIWANI 2024 May 11, 2024
  • Angalia Zote

Taarifa Mpya

  • MAAFISA UANDIKISHAJI WALA KIAPO KARATU

    May 14, 2025
  • DED HOKORORO ASHIRIKI KIKAO CHA ALAT WILAYA YA MERU

    May 15, 2025
  • MADAKTARI BINGWA WA SAMIA AWAMU YA TATU WATUA KARAU

    May 12, 2025
  • KARATU WASAPOTIJUHUDI ZA RAIS SAMIA WATANGAZA UTALII WA NDANI

    May 11, 2025
  • Angalia Zote

Video

DC KOLIMBA ATATUA KERO TARAFA YA EYASI KARATU
Video Zaidi

Viunganishi vya Haraka

  • Fursa za Uwekezaji

Viunganishi Linganifu

  • Tovuti ya Wizara ya Fedha na Mipango
  • Jamvi la Habari
  • Tovuti ya Tamisemi
  • Tovuti ya Serikali
  • Sekretarieti ya Ajira

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

writingMasterThesis

Location Map

Wasiliana Nasi

    Karatu District Council

    Sanduku la Posta: P.O Box 190

    Simu: +255 272970648

    Simu ya Mkononi: 0754773947

    Barua Pepe: ded@karatudc.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya Tovuti

Haki Miliki @ 2017 Halmashauri ya Wilaya ya Karatu.Haki zote zimehifadhiwa