• Wasiliana Nasi |
    • Maswali |
    • Barua Pepe za Watumishi |
    • Complains |
Karatu District Council
Karatu District Council

Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Karatu

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Dhamira na Dira
    • Historia
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Idara
      • Fedha na Biashara
      • Ujenzi
      • Afya
      • Elimu Msingi
      • Elimu Sekondari
    • Vitengo
  • Fursa za Uwekezaji
  • Huduma Zetu
  • Madiwani
  • Miradi
    • TASAF
    • BOOST
  • Machapisho
    • Hali ya Uwekezaji
      • Business License Form
  • Kituo cha Habari
    • Video
    • Habari
    • Hotuba kwa Vyombo vya Habari
    • Maktaba ya Picha

MWENGE WA UHURU WAFUNGUA BWENI LA WASICHANA

Posted on: June 12th, 2019

Mwenge wa uhuru umezindua nyumba za walimu pamoja na bweni la wasichana katika shule ya Baray khusumay. Shule hiyo ni moja ya shule 35 za sekondari zilizopo katika wilaya ya Karatu zenye wanafunzi 12683  na walimu 594.

Kiongozi wa mwenge kitaifa Ndugu Mzee Mkongea Alli amesema nyumba za walimu sehemu ya kuoshea vyombo haina kichujio. Amesema kuna baadhi ya milango haifunguki mpaka mwisho, pia amesema ni vyema wakaweka taga za kusaidia kuvuna maji. Ndugu Mkongea amempongeza Mhandisi kwa ubunifu mkubwa alioufanya katika ujenzi wa bweni pamoja na nyumba mbili za walimu two in one.Amesema Mhandisi ameweka kichomeo taka lakini kwenye bweni ameweka kabati za chuma za kuhifadhi vifaa kwa ajili ya wanafunzi.


kiongozi wa mbio za mwenge akikagua mfumo wa maji katika bweni la wasichana la Baray Khusumay

Ujenzi wa majengo matatu (Nyumba mbili za walimu na Bweni la wasichana umegharimu jumla ya Shilingi 298,562,654.50, ambazo michango ya Wananchi ina thamani ya Shilingi 27,142,059.50 na TASAF imechangia kiasi cha Shilingi 271,420,595.

 

Kukamilika kwa Miradi hii ya Nyumba mbili za Walimu na Bweni la wasichana kumewezesha shule kukidhi vigezo vya kusajiliwa na pia kuwezesha kuongeza idadi ya Walimu katika Shule hii na kuboresha mazingira ya kufundishia na kujifunzia na hatimaye kupandisha ubora wa elimu na kiwango cha ufaulu cha wanafunzi.

Matangazo

  • Matokeo ya upimaji wa Kitaifa kidoto cha pili January 07, 2024
  • Halmashauri ya Wilaya ya Karatu Uchaguzi wa Wanafunzi wa kidato cha kwanza, 2024 December 18, 2023
  • Matokeo ya Darasa la Nne January 07, 2024
  • KIKAO CHA BARAZA LA MADIWANI 2024 May 11, 2024
  • Angalia Zote

Taarifa Mpya

  • MAAFISA UANDIKISHAJI WALA KIAPO KARATU

    May 14, 2025
  • DED HOKORORO ASHIRIKI KIKAO CHA ALAT WILAYA YA MERU

    May 15, 2025
  • MADAKTARI BINGWA WA SAMIA AWAMU YA TATU WATUA KARAU

    May 12, 2025
  • KARATU WASAPOTIJUHUDI ZA RAIS SAMIA WATANGAZA UTALII WA NDANI

    May 11, 2025
  • Angalia Zote

Video

DC KOLIMBA ATATUA KERO TARAFA YA EYASI KARATU
Video Zaidi

Viunganishi vya Haraka

  • Fursa za Uwekezaji

Viunganishi Linganifu

  • Tovuti ya Wizara ya Fedha na Mipango
  • Jamvi la Habari
  • Tovuti ya Tamisemi
  • Tovuti ya Serikali
  • Sekretarieti ya Ajira

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

writingMasterThesis

Location Map

Wasiliana Nasi

    Karatu District Council

    Sanduku la Posta: P.O Box 190

    Simu: +255 272970648

    Simu ya Mkononi: 0754773947

    Barua Pepe: ded@karatudc.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya Tovuti

Haki Miliki @ 2017 Halmashauri ya Wilaya ya Karatu.Haki zote zimehifadhiwa