NA TEGEMEO KASTUS
Mpango wa kusaidia kaya Masikini Tasaf umetoa kiasi cha Million 427, 100,000 kwa kaya maskini 5923 katika vijiji 39. Kiasi hicho cha fedha kinajumuisha miezi minne, June –Agust na September-October baada ya uhakiki wa kaya maskini.
Mratibu wa tasaf wilaya ya Karatu, Bi, Restiel Hayuma amesema malipo hayo ya Tasaf ni ya awamu ya Tatu pharse two, amesema familia ambazo hazikujitokeza kwenye uhakiki wametoa fomu maaalumu kwa ajili ya kujaza taarifa zao tayari ili kuzipeleka Makao Makuu.
Mpango wa kusaidia kaya masikini (Tasaf) wametoa fedha za June-Agust Septemba-Octobar huko Endamaghan
Karatu District Council
Sanduku la Posta: P.O Box 190
Simu: +255 272970648
Simu ya Mkononi: 0754773947
Barua Pepe: ded@karatudc.go.tz
Haki Miliki @ 2017 Halmashauri ya Wilaya ya Karatu.Haki zote zimehifadhiwa