• Wasiliana Nasi |
    • Maswali |
    • Barua Pepe za Watumishi |
    • Complains |
Karatu District Council
Karatu District Council

Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Karatu

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Dhamira na Dira
    • Historia
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Idara
      • Fedha na Biashara
      • Ujenzi
      • Afya
      • Elimu Msingi
      • Elimu Sekondari
    • Vitengo
  • Fursa za Uwekezaji
  • Huduma Zetu
  • Madiwani
  • Miradi
    • TASAF
    • BOOST
  • Machapisho
    • Hali ya Uwekezaji
      • Business License Form
  • Kituo cha Habari
    • Video
    • Habari
    • Hotuba kwa Vyombo vya Habari
    • Maktaba ya Picha

UJENZI WA HOSPITAL YA WILAYA WASHIKA KASI

Posted on: May 20th, 2019

Mkurugenzi wa Halmashauri ya wilaya ya Karatu, pamoja na watendaji wa halmashauri wametembelea ujenzi wa Hospital ya karatu. Ziara hiyo ililenga kuona shughuli za mradi wa huo jinsi zinavyoenda.

Ndugu Waziri amesema ujenzi wa hospital hiyo unaendelea vizuri, mpaka sasa majengo yapo katika  hatua za umaliziaji wa ujenzi wa msingi. Amesema ujenzi huo wa hospital umeanza mwezi wanne, na unahusisha majengo matatu ambayo ni jengo la Maabara, jengo la wagonjwa wa nje na jengo la utawala. Ujenzi huo unajengwa kwa force account kwa fedha zilizotolewa na hifadhi ya mamlaka ya Ngorongoro. Lengo la ziara hiyo ni kuwapa hamasa mafundi wanaojenga hopitali hiyo. Amesema kufika ijumaaa wanategemea mafundi wawe wameweka jamvi majengo yote matatu.

Ndugu Waziri amesema vifaa vyote vya muhimu vimeshafika eneo la ujenzi. Mpaka sasa tofali 11300 yameshatumika kwa sababu msingi ni mrefu mita moja kwenda chini na tofali zimejengwa kwa kulaza kwenye msingi. Kuna mifuko ya cement zaidi ya 500, mpaka sasa imeshatumika mifuko 1800. Matarajio mwezi wa sita mwishoni majengo yote ya hospitali yatakuwa yameshaezekwa.



Mkurugenzi mtendaji Ndugu Waziri Mourice na watendaji wa Halmashauri katika eneo la ujenzi wa Hospitali ya wilaya.


Matangazo

  • Matokeo ya upimaji wa Kitaifa kidoto cha pili January 07, 2024
  • Halmashauri ya Wilaya ya Karatu Uchaguzi wa Wanafunzi wa kidato cha kwanza, 2024 December 18, 2023
  • Matokeo ya Darasa la Nne January 07, 2024
  • NAFASI ZA KAZI 2024 April 21, 2024
  • Angalia Zote

Taarifa Mpya

  • MILIONI 400 ZATOLEWA KARATU, KUJENGA MABWENI NA MADARASA EYASI SEKONDARI

    January 30, 2025
  • WASIMAMIZI WAASWA KUSIMAMIA VIAPO VYAO KUELEKEA UCHAGUZI WA SERIKALI ZA MITAA 2024.

    November 23, 2024
  • JESHI LA AKIBA MKAWE WAZALENDO KWA TAIFA

    November 23, 2024
  • HALMASHAURI YAZINDUA KITABU CHA MPANGO MKAKATI WA UKUSANYAJI MAPATO.

    November 19, 2024
  • Angalia Zote

Video

DC KOLIMBA ATATUA KERO TARAFA YA EYASI KARATU
Video Zaidi

Viunganishi vya Haraka

  • Fursa za Uwekezaji

Viunganishi Linganifu

  • Tovuti ya Wizara ya Fedha na Mipango
  • Jamvi la Habari
  • Tovuti ya Tamisemi
  • Tovuti ya Serikali
  • Sekretarieti ya Ajira

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

writingMasterThesis

Location Map

Wasiliana Nasi

    Karatu District Council

    Sanduku la Posta: P.O Box 190

    Simu: +255 272970648

    Simu ya Mkononi: 0754773947

    Barua Pepe: ded@karatudc.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya Tovuti

Haki Miliki @ 2017 Halmashauri ya Wilaya ya Karatu.Haki zote zimehifadhiwa