Posted on: May 20th, 2019
Mkurugenzi mtendaji wa Halmashauri ya wilaya ya Karatu, ameambatana na watendaji wa Halmashauri kutembelea mradi wa soko unaojengwa. Maradi huo wa soko kwa sasa uko katika hatua ya uwezekaji wa paa.
...
Posted on: May 17th, 2019
Serikali imetangaza kutotumia mifuko au vifungashio vya plastic nchi nzima kuanzia tarehe mosi mwezi wa sita. Halmashauri ya wilaya ya Karatu ilishapiga marufuku matumizi ya vifungashio vy...
Posted on: May 15th, 2019
Halmashauri ya wilaya ya Karatu intarajia kufanya mnada wa hadhara wa magari Makuukuu siku ya 25/5/2019. Mnada huo umetangazwa na Majembe Auction Mart na wanatarajia kuuza pikipiki na Mash...