Posted on: May 8th, 2020
Na Tegemeo Kastus
Mkuu wa wilaya ya Karatu Mhe. Theresia Mahongo amewapa ndoo pamoja na sabuni za kunawa mikono maafisa Tarafa na maafisa watendaji kata wa kata zote za karatu. Zoezi hilo ni moja y...
Posted on: May 1st, 2020
Na Tegemeo Kastus
Wananchi wanaotegemea usafiri wa umma kutoka na kuingia kata ya Mbulumbulu watakiwa kuvaa barakoa ili kuzuia kusambaa na kujikinga na virusi vya corona. Azimio hilo limeafikiwa na...
Posted on: April 29th, 2020
Na Tegemeo Kastus
Baraza la madiwani la Halmashauri ya wilaya ya Karatu limetenga million 100 kwa ajili ya kukabiliana na janga la corona. Fedha hizo zimetengwa ili kununua vifaa tiba madawa pamoja...