Posted on: September 26th, 2020
NA TEGEMEO KASTUS
Wafadhili wa Africa foundation wamekabidhi kwa serikali ujenzi wa bweni la wavulana na jengo la choo cha wasichana vienye thamani ya pamoja zaidi ya million 113 kwa shule ya...
Posted on: September 24th, 2020
NA TEGEMEO KASTUS
Aliyekuwa kaimu Afisa Mtendaji wa kijiji cha Endamariek anachunguzwa na taasisi ya kuzuia na kupambana na rushwa wilaya ya Karatu juu ya matumizi mabaya ya ofisi. Tukio hilo...
Posted on: September 22nd, 2020
NA TEGEMEO KASTUS
Taasisi ya kuzuia na kupambana na rushwa wilayani Karatu imeokoa kiasi cha million 21 na laki moja kwa Mwalimu Mstaafu. Fedha hizo zilikuwa zimeporwa na kampuni ya Robby credit Co...