Posted on: February 3rd, 2021
Na Tegemeo Kastus
Halmashauri lazima ikusanye mapato vizuri ili iweze kutekeleza shughuli zake za miradi maendeleo, ni jukumu letu kusimamia ukusanyaji wa mapato katika kata zetu.  ...
Posted on: February 2nd, 2021
Na Tegemeo Kastus
Wanasheria vishoka wana wanawalagahi wananchi na kuwatoza gharama kubwa za fedha zisizo na msaada wowote wa kisheria. Wananchi wenye mashauri yao mahakamani wanapaswa kupata ushau...
Posted on: February 1st, 2021
Na Tegemeo Kastus
Upatikanaji wa dawa katika kituo cha afya Karatu umezidi kuimarika, baada ya vifaaa tiba na madawa ya muhimu kuwepo. Manunuzi ya madawa yaliyofanyika yameleta matumaini kwa wananc...