Posted on: June 12th, 2019
Mwenge wa uhuru umeweka jiwe la msingi katika kituo cha afya Endabash, kituo hicho kimejengwa kupitia fedha million mia nne ilizopewa Halmashauri kwa ajili ya ujenzi na ukarabati wa miundo mbinu...
Posted on: June 12th, 2019
Kiongozi wa mbio za mwenge wa uhuru Ndugu Mzee Mkongea Alli amezindua barabara ya NBC- KUDU yenye umbali wa 0.6 km kwa kiwango cha lami. Mradi huo unasimamiwa na wakala wa barabara vijijini na mjini T...
Posted on: June 12th, 2019
Mwenge wa uhuru umezindua mradi wa maji kijiji cha Ayalaliyo, Mradi huo umegharimu jumla ya Tshs 226,239,520/=, kati ya fedha hizo Shirika la World Vision Tanzania walichangia kiasi cha Tshs 206,...