Posted on: April 9th, 2021
Na Tegemeo Kastus
Vituo vingi vya afya vimekuwa na tabia ya kutotoa huduma siku ya Jumamosi na Jumapili jambo linalosababisha adha kubwa kwa wananchi. Sasa uwekwe utaratibu mzuri ili mgonjwa ...
Posted on: April 6th, 2021
Watumishi wa idara ya afya waanze utaratibu wa kubandika kwenye vituo vya afya dawa zinazopatikana. Ili kumsaidia mwananchi anapoenda zahanati au ngazi ya kituo cha afya kujua ni dawa za aina gani zin...
Posted on: March 31st, 2021
NA TEGEMEO KASTUS
Mradi wa maji wa Getamock ulioshindwa kufanya kazi kwa muda miaka zaidi ya nane, sasa umeanza kufanya kazi. Mradi huo uko chini ya uangalizi wa ruwasa na una vituo vya kutolea maj...