Posted on: May 14th, 2020
Na Tegemeo Kastus
Mkuu wa mkoa wa Arusha Mh. Mrisho Gambo ametoa siku 20 kwa uongozi wa kata ya Mbulumbulu kusimamia ujenzi wa jengo la mionzi (X-ray) katika kituo cha afya Kambi ya simba kuwa umem...
Posted on: May 8th, 2020
Na Tegemeo Kastus
Mkuu wa wilaya ya Karatu Mhe. Theresia Mahongo amewapa ndoo pamoja na sabuni za kunawa mikono maafisa Tarafa na maafisa watendaji kata wa kata zote za karatu. Zoezi hilo ni moja y...
Posted on: May 1st, 2020
Na Tegemeo Kastus
Wananchi wanaotegemea usafiri wa umma kutoka na kuingia kata ya Mbulumbulu watakiwa kuvaa barakoa ili kuzuia kusambaa na kujikinga na virusi vya corona. Azimio hilo limeafikiwa na...