Posted on: June 12th, 2019
Kiongozi wa mbio za mwenge wa uhuru Ndugu Mzee Mkongea Alli amezindua barabara ya NBC- KUDU yenye umbali wa 0.6 km kwa kiwango cha lami. Mradi huo unasimamiwa na wakala wa barabara vijijini na mjini T...
Posted on: June 12th, 2019
Mwenge wa uhuru umezindua mradi wa maji kijiji cha Ayalaliyo, Mradi huo umegharimu jumla ya Tshs 226,239,520/=, kati ya fedha hizo Shirika la World Vision Tanzania walichangia kiasi cha Tshs 206,...
Posted on: June 12th, 2019
Mwenge wa uhuru umezindua nyumba za walimu pamoja na bweni la wasichana katika shule ya Baray khusumay. Shule hiyo ni moja ya shule 35 za sekondari zilizopo katika wilaya ya Karatu zenye wanafunzi 126...